House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
180,000 x6. Dk 3 kutoka Morogoro Road
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Bucha
🕑 Dakika 3_4 kutoka stand ya mwendo kwa mguu
#SIFAZAKE
🔹Chumba master
🔹Sebule
🔹Hakuna Jiko
🔹Umeme LUKU wana share 2 Tu Maji yanaflow ndani
🔹Fenced,amna Parking ipo kubwa
Mazingira mazuri sana usalama upo
🔶Kodi Tsh 180, 000/=×6
🔶Malipo ya Dalali Tsh 180, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊
0679 956 863
0759151524
0781418437