House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 4
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/12/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT NZURI YA KISASA INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM NZURI
#SEBULE NZURI
#HAKUNA JIKO
#SEHEMU NZURI YA KUOSHEA VYOMBO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 4
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
##0655256419