House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI FENSI PARKING KUBWA
#LUKU 2 SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
##0655256419