House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 Γ 6) πππ ππ₯π π πͺππ¦ππ’
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= Γ 6 ILIPWE SAMBAMBA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA YAANI LAKI 3
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
πANATAKIWA MPANGAJI MSELA (BACHELOR) AU MTU NA MCHUMBA WAKE TUU
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= Γ 6
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
π₯NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
#0785889413



















