Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6 ILIPWE SAMBAMBA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA YAANI LAKI 3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
📌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA (BACHELOR) AU MTU NA MCHUMBA WAKE TUU
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
#0785889413