House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI MPYA YA KUPANGA
.
IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAMBA
.
SIFA ZAKE
========
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ZURI
.
INAJITEGEMEA LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS YA WAYA NA PARKING IPO KUBWA
.
UMBALI NI KM 1.3 TU KUTOKA KITUO CHA DALADALA MBEZI MWISHO
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0655256419