House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA
MASTER BEDROOM & KITCHEN
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
MBEZI KWA MSUGURI
π₯ KODI YAKE 180K X 6 //
πILIPWE LAKI MOJA NA THEMANINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
SIFA ZAKE NI:_
#MASTER BEDROOM
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI LA NJE
#TILES
#GIPSAM
#ALMINIUM
#MAJI DAWASA METER YAKE
#MAJI YANAFLOW NDANI
#UMEME METER YAKE
#PARKING KUBWA
#FULL PAVING BLOCKS
π‘ APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM1.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
πΉπΏπ‘ *KARIBUNI SANA* π