House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA, HADI BOMBA LA NNJE UNAJITEGEMEA.
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI (DAWASA) TENKI LIPO.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
CONTACT: 0760053111
0614130017