House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent
Location Ubungo Riverside Dakika 3 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 140000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
===≠======
Chumba na Sebule Kubwa
Choo Cha Nje
Maji Dawasa yapo
Luku Sub mita yake
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Good environment
0712500602
0755336565