House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Nyumba nzuri inapangishwa Ubungo external
Itakuwa wazi tarehe 8 mwezi wa 3
Location: ubungo external
Umbali dakika 4
SIFA ZAKE
-chumba master na jiko
- dipoziti 220,000/=
Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 220,000/= Malipo Miezi 6
Service Charge 15000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.