House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI KUBWA NA ENEO KUBWA INAUZWA BEI MILIONI 80 MAONGEZI YAPO KIDOGO
NYUMBA NI KUBWA VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA PABLICK TOILET
NYUMBA INAENEO UNAWEZA KUJENGA TENA APARTMENT ZA BIASHARA AU MAKAZI BINAFSI
NYUMBA INADOCOUMENT HALALI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO UBUNGO RIVER SAID KIBANGU KM1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA KUTOKA LAMI HADI KWENYE ENEO DAKIKA 2 WAI NDUGU MTEJA
NYUMBA NZURI IPO KARBU NA MJINI KABISA
NYUMBA INAMPANGAJI ANALIPA LAK4 KWA MWEZI
ENEO LINA SQUARE MITA 650
0746 433 854