1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟAPARTMENT #INAPANGISHWA
๐kimara Mwisho
๐Dakika 15 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi Boda boda 1000 Tu hii nyumba unaweza pitia kimara korogwe pia
#SIFAZAKE
๐นChumba kimoja master kikubwa
๐นSebule Kubwa
๐นSehemu ya kupikia
๐นUmeme Sub-Meter Yake
๐นFence amna Ila mazingira mazuri usalama wa kutosha
๐นZipo 3 Hapa, Moja hii Iko wazi
๐ธKodi Tsh 150,000/-x5,6(Miezi sita )
๐ธMalipo ya Dalali Tsh 150,000/=
๐ธService Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu
0712528820
0685221354
#please #Follow us..๐
Karibu Sana Mtejaโบ