1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI KODI #300 × 10 Au 12
📍SEBULE KUBWA
📍CHUMBA KIMOJA MASTER
📍JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
📍CHOO CHA WAGENI WAKO NJE
📍STORE YA NJE
📍TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
📍 PAVING BLOCKS NYUMBA
ZIPO NDANI YA FENCE
PARKING KUBWA SANA 🚗
📍LUKU INAJITEGEMEA
📍MAJI DAWASA NDANI 24HRS
📍RESERVE TANK
📍MAFENI KOTE
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: DAKIKA 5-6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
KODI 300,000 × 10 Au 12
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp