1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Stop Over, 1.2km Kutoka Morogoro Main Road, Boda Boda 1000 Barabara ni ya Zege.
#SIFAZAKE
Hii ina Chumba Kimoja Master, Sebule & Jiko
Umeme Luku yake & Maji yanaflow ndani
Iko ndani ya fensi na Parking Ipo
Kodi Tsh 250,000/=×6( Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊