1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT MPYA#INAPANGISHWA
๐Kimara korogwe
๐Umbali wa Kutoka stand ya mwendo  Mwendokasi Dakika 3 Tu
#SIFAZAKE
๐ธChumba Kimoja master kikubwa 
๐ธSebule 
๐ธJiko 
๐ธUmeme & Maji #Inajitegemea
๐ธFence & Parking vinawekwa 
๐Zipo apartments 2 kwenye Compound 
๐นKodi Tsh 250,000/=ร6(Miezi 12 )
๐นMalipo ya Dalali Tsh 250,000/=
๐นService Charge Tsh 15, 000/=
 ๐๐ Nyumba  ni mpya mafundi wapo kazini fance & packing  inawekwa kodi unachaguwa unalipaje 250k miezi 12 au unaweza lipa kwa 300k miezi 6 
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347




















