1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KALI SANA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU Au BODA 1000
KODI 300,000 ร6
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKON KUNAFUNGWA MAKABATI YA JUU NA CHINI
UMEME LUKU YAKO
MAJI METER YAKO NA YANAFLOW NDANI 24HRS
KUONA NA KULIPIA RUKSA BOSS ๐ฐโ๏ธ
BARABARA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI ๐
IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
FULL PAVING BLOCKS ๐ซ
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp