1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Mwisho
🕑1km Kutoka Morogoro Main Road, Bajaji 700 Mpaka Hapo
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Kibala
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking Kubwa
🔶Kodi Tsh 200,000\/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 200,000\/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000\/=
______________
#Piga_simu 👇
,
0716223412 📞&Whatsapp
0683597453
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊