1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma
#CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MIOCHENI B
NYUMBA YA 5 TOKA LAMI HAYA WAKUPENDA MJINI
CHANGAMΚΕΝΙ ΜΑΡΕMA HII NIASUBUI UKISEΜΑ ΝΙΚΙΤΟΚΑ
KAZINI NDIO UJE USINI LAUM
UKIIKOSA
KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA KUANZIA MIEZI (6)
UNAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
APART NZURI YA KISASA
YA KIBACHELA
YENYE:-
Chumba kimoja cha kulala, Chumba kina makabati #Ac
#Sebule #Ac #Jiko zuri lenye #Makabati
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
PAMOJA NA MALIPO YA DALALI