3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA NI YA KUHAMIA TUU INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDENI
#PARKING

BEI NI 500,000/= X 6 ,,BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA NA ITAKATWA KWENYE MALIPO YA MIEZI 6 ITAHESABIKA MIEZI 5

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

SIMU

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343

lenardjackson
dalali_kimara_suka_leonard
lenardjackson

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KU...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

*APARTMENT NZURI SANA* *NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*๐Ÿ’ฅ *KODI YAKE 180K X 4**ILIPWE...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTIDK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ------Vyumba...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

(500,000 ร— 6) ๐—ž๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—•๐—”๐—ฅ๐—จ๐—ง๐—œAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= ร— 6 I...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KU...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– 250k#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA TEMBONI#๐˜ฟ๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™–๏ฟฝ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 12KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA NY...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KU...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location kimara baruti km1 usafiri upo bajaji na boda Kodi...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KU...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO#CHUMBA CHENYE...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

##APARTMENT FOR RENT KIMARA STOP OVER๐Ÿ’ŽCHUMBA CHA KULALA๐Ÿ’ŽSEBULE๐Ÿ’ŽJIKO NZURI (OPEN KITCHEN)๐Ÿ’ŽCHOO CH...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI --------Vyumba 2 vya kulala kimoj...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KU...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

*APARTMENT NZURI SANA*NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI*๐Ÿ’ฅ *KODI YAKE 180K X 4*ILIPWE LA...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

KODI 120,000 x 5 KIMARA MWISHO MASTER BEDROOM & JIKO MPYAAA ZINAPANGISHWA ZIPO ( 6 . ) TU NDAN...