3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA NAIFAULISHA NDUGU MTEJA BEI NI 600,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#FULL SECURITY (ULINZI WA KUTOSHA)
BEI NI 600,000/= X 6
π«π« APARTMENT NZURI YA KISASA IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU UPO KWENYE
NYUMBA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167