2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bara, Songwe







#APARTMENT MBILI KALI SANA ZA KISASA ZINAUZWA
MAHALI MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA
SIFA ZA NYUMBA
Kila nyumba ina Vyumba viwili vya kulala kimojawapo Ni Master bedroom, Sebule kubwa, Jiko Nzuri lenye makabati [Open kitchen],Choo cha familia,Umeme luku inajitegemea
Ukubwa wa Eneo ni sqmt 2987
Bei ni milioni 120 tu
Sio mbali kutoka bara bara kuu ya lami hadi nyumba ilipo.
Umbali wa dakika 10 kwa mguu
Nyumba ina fensi ya waya ndugu mteja
Kila apartment moja inapangishwa kwa laki tatu kwa mwezi na zina wapangaji tayari
Umiliki wake ni Hati miliki [TITLE DEED IPO MKONONI]
Service Charge ni 30,000\/=
☎️ #0757208653