2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT #MPYAAA KABISAAA YA #KIFAMILIA INAPANGISHWA #KIMARA_STOP_OVER MITA 800 TOKEA LAMI
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko la nguvu
Parking
Paving
Ac
Heater
Full ulinzi hapa na Kodi imejumuisha usafi, ulinzi na taka taka
Makabati vyumbani
Maji na Umeme mita yako
Choo cha familia
__
Kodi 1,000,000/= ร 5 au 6
Dalali mwezi 1
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343
__
PIGA SIMUUUU WAHIII HAPA NI MBIO ZAKO TU