2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 300,000 × 6
📍Sebule Kubwa Sana
📍Dining Room
📍Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
📍Public Toilet Nzuri 🚻
📍Jiko Kubwa Zuri
📍Tires,Gypsum Na Slide Windows
📍Umeme Luku inajitegemea
📍Maji Dawasa Yanaflow Chooni Na Jikoni Meter Yako
📍Ndani Ya Fence
📍Parking Space Kubwa
Eneo Ni Kubwa Ruksa KUFUGA 🐓🐓🐓
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp