Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 300,000 ร 6
๐Sebule Kubwa Sana
๐Dining Room
๐Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
๐Public Toilet Nzuri ๐ป
๐Jiko Kubwa Zuri
๐Tires,Gypsum Na Slide Windows
๐Umeme Luku inajitegemea
๐Maji Dawasa Yanaflow Chooni Na Jikoni Meter Yako
๐Ndani Ya Fence
๐Parking Space Kubwa
Eneo Ni Kubwa Ruksa KUFUGA ๐๐๐
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp