2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 270,000/= X 7
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 70 MALIPO YA MIEZI 7
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET NZURI SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 270,000/= X 7
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258