2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KONK SANA INAPANGISHWA KIMARA SUCA
.
SIFA ZAKE
,==========
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER,SEBULE KUBWA,JIKO LA KISASA NA CHOO PUBLIC
.
APARTMENT ZIKO 4 NDANI YA COMPOUND 1 UMEME NA MAJI LUKU YAKO*** Reserve water tank ltr 5000 kwa wote na ltr 1000 kwa kila nyumba
.
APARTMENT INA FULL AC,FULL SECURITY NA KUNA WF KWA MATUMIZI YA WAPANGAJI
.
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 2.5*****
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
0742260844