2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA BEI MSELEREKO KABISA NI
180,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE YA WASTANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#MADIRISHA NI WAVU MZURI ULIOFUNGWA KITAALAMU
#ZIPO NDANI YA FENSI
BEI NI 180,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
=======
CONT
0683234124
0718367179