2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(450,000 ร 6) ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐๐ ๐ ๐๐๐
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= ร 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#GARDEN
BEI NI 450,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA USAFIRI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ ๐ป๐ถ ๐๐ต๐ถ๐น๐ถ๐ป๐ด๐ถ 15,000
๐ ๐ฎ๐น๐ถ๐ฝ๐ผ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ฎ๐น๐ถ ๐ป๐ถ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ
๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐ฐ๐:
0654101710
0787205300