2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
19/1/2025
Nyumba Nzima inapangishwa apartment 2
Location Mbweni mpiji
Bei 400000 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 2 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Inajitegemea maji na umeme
Ipo ndani ya fence
Contact 0745010009 or 0741887333