2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa sh 500000 ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master, sebule kubwa, jiko, public toilet, umeme na maji unajitegemea, reserve water tank, parking kubwa, hapa kuna apartments 6 tu ndani ya fence, kutoka kituoni dakika 5-6, Location tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam tanzania
Calls/WhatsApp
06595O7709
Service survey charge tsh 20000
Malipo ya dalali mwezi 1



















