2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT
full air condition
ππ€πππ©ππ€π£: Tabata kinyerezi njia air part au
Njia ya darajani kuelekea abc capital
πΏππ¨π©ππ£ππ: distance kutoka main road 1mints
kutoka rami
ππππ πππ π
============
β’ Sebule kubwa
β’ Vyumba viwili vya Kulala
.master bed room ipo
β’ Jiko Kubwa la makabat
β’ Choo Kizuri Ndani
.store ya njee kubwa
.mlinzi yupo 24 hrs analipwa na mwenye nyumba
Apartment zipo 2 tu ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
ππ€ππ π π¬π ππ¬ππ―π π£π Tsh. 350,000 Malipo Miezi 12 uje full
πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
πΏππ‘ππ‘π tabata
0746211113 WhatsApp