2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Boda ni 1000 mpaka home
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 2 za Kulala hakuna Master
Hakuna jiko
Kuna Korido
Public toilet ndani
Maji Dawasa yapo
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim