Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Boda ni 1000 mpaka home
Kodi 200000Γ6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 2 za Kulala hakuna Master
Hakuna jiko
Kuna Korido
Public toilet ndani
Maji Dawasa yapo
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim