Plot for sale at Bara, Songwe


Kiwanja kinauzwa
Ukubwa 20x40 jumla sqm 800
Location Mbopo njia ya kwenda magwepande.
Umbali kutoka bara bara kuu ni mita 100
Sifa nyingine: kina bara bara zinapitika muda wote, kipo karibu na huduma zote umeme na maji.
Pia kipo mtaa wa kishua umejengeka nyumba nzuri
Bei ni Tsh Mil 25
Piga/whatsapp 0755 153 280