Plot for sale at Bara, Songwe


Kiwanja kinauzwa,
Location: Mbopo njia ya magwepande.
Ukubwa: 23x26 sqm 590
Umbali kutoka bara bara kubwa ni mita 100
Sifa nyingine: Kipo eneo la tambarale na pia karibu na huduma zote za kijamii kama umeme na maji.
Kipo maeneo yaliyojengeka mtaa unaitwa maskaki
Kipo karibu na bara bara.
Bei Tsh Mil 15
Piga/whatsapp 0755 153 280