Plot for sale at Buza, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA, VYUMBA 6, TSH.230 MILIONI, MWANAGATI SHULE.
Unaweza kuingilia BUZA au kupitia KITUNDA.
Nyumba ipo Mtaa mzuri mpana na panafaa kuishi Familia kubwq au kuifanya Ofisi, Zahanati au Shule ya Chekechea.
Vyumba vyote 6 vina Vyoo ndani.
Pia kuna Sebule,Jiko Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina Servant's Quarter nzuri na Parking kubwa yenye Paving Blocks.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 900
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
+255714591548
___________ptb
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.