Plot for sale at Kariakoo, Dar Es Salaam
HABARI ZA MUDA HUU MTEJA WANGU
NIMEKULETA HII MALI
NI FRAME KUBWA INAPANGISHWA
KARIAKOO GEREZANI ,MTAA WA LINDI
UKUBWA WAKE 80SQM
Panafaa kwa
Duka La Dawa na Vifaa Tiba
Hardware
N.k
BEI :TZS 3,500,000/= Kwa Mwezi,
WITHHOLDING TAX ITALIPWA NA MPANGAJI
Muda wa malipo kuanzia miezi 6
Zingatia malipo ya Dalali ni kodi ya mwezi mmoja.
Kuonyeshwa 30k Tzs
Call #0744400988