Plot for sale at Kibaha, Pwani


Katika Moja na Mbili na wenyeji wetu katika Mradi wa Kibaha Misugusugu! Huyu ni jirani ambaye anapatikana karibu na Misugusugu Project! Anajua Historia ya eneo vizuri na Kila siku anashuhudia ukuaji na Maendeleo ya Eneo!
Hapa Kiwanja kinapatikana Kwa 3,400,000/= kikiwa na Ukubwa wa Square meter 400(m²)
Umebaki wewe kuja Hapa Kibaha Ili uweze kubadili Hali ya Hewa,uzoefu na kujifunza mambo mapya Tofauti na mazingira yako ya Kila siku!
FURSA ZILIZOPO
Kama una mtaji wa kujenga Nyumba nzuri Kwa ajili ya kupangisha,basi hapa Kibaha Misugusugu katika Mradi huu patakufaa Sana,wapo wafanyakazi wengi katika Viwanda vilivyopo hapa wanaitaji Makazi!
Njoo ujenge Apartment na uwe na kipato cha uhakika zaidi!
UTARATIBU WA MALIPO
1,000,000/= Malipo ya Awali
200,000/= Kila Mwezi Hadi unakamilisha malipo.
Karibuni Sana Kibaha Misugusugu Ili tubadili maisha Kwa pamoja. Ardhi ya hapa ni Tambarare hakuna Kilima Wala Bonde ....... Ni Tofali na kujenga Tu!
Remmys Brand
Kiwanja Chako| Nyumba Yako
0659 972 868
0763 172 814