Plot for sale at Kibaha, Pwani


Kibaha Kwa Mathias!
Unaona site ilivyokuwa safi?? Hapa bwana ni mita 400 toka kwenye Lami na km2 toka Morogoro Road.
Bei Kwa Mraba ni shilingi 18,000/= sawa na shilingi 7,200,000/= Kwa Kiwanja chenye ukubwa wa MITA za Mraba 400(m²)
Unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya Miezi Minne Tu.
Mawasiliano
0758 76 4040