Plot for sale at Kibaha, Pwani


Nyumba Nzuri Inauzwa milioni 45 maongezi yapo
๐ Ipo KIBAHA MAILI MOJA (mtaa wa mkoani B kwa DACHI)
โซVyumba Vinne vya Kulala kati ya hivyo Vyumba viwili ni self contained
Master Bedroom
โซSitting room
โซDining room
โ Kitchen
โซ Public toilet
โซUkubwa wa kiwanja: sqmt 1100
โdocument : clear TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
โ Maji safi dawasco umeme vyote vipo kwenye nyumba
โNyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
โNyumba ipo Umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka Morogoro road au maili moja stendi
Gharama za Kupelekwa kuona nyumba elfu 25,000/=
NB: Nyumba hii baada yakufika site na kukagua nimebaini yafuatayo
1. Nyumba ndani inasakafu ya kawaida haina tiles
2. Nyumba nikubwa na ninzuri
3. Nyumba haina umbali Sana kutoka Morogoro Road KM 1.5 umefika bodaboda 1000
4. ENEO lililobaki Lina unyenyevu ( wetlands ) lakini unaweza kuudhibiti Kwa kuweka fence na mtaro mdogo Kwa nje
5. Lakini unaweza kuhamia hata muda huu
0679447338
0753454167