Plot for sale at Kibaha, Pwani
NYUMBA INAUZWA KIBAHA (HOUSE ON SALE)
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP LIMITED
DATE LISTED: 10/05/2024
HOUSE LOCATION: MAILI MOJA (Mtaa wa mkoani B kwa DACHI)
PLOT SIZE: 1100 SQM
PRICE: 45 Million (MAONGEZI YAPO/NEGOTIABLE)
HOUSE DETAILS
▫Vyumba Vinne vya Kulala kati ya hivyo Vyumba viwili ni self contenad
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
▫ Public toilet
◇ Maji safi dawasco umeme vyote vipo kwenye nyumba
◇Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
◇Nyumba ipo Umbali wa kilomita 1 tu kutoka Morogoro road au maili moja stendi
MUHIMU
Bei ya nyumba ni ndogo kulinganisha na thamani ya nyumba kwahyo mteja atakayewahi ndio atauziwa nyumba.
DOCUMENTS: HATI SAFI KUTOLA WIZARA YA ARDHI (TITLE DEED) Inatoka ndani ya mwezi mmoja.
Site visite : 50000/=
CONTACTS
Office: Bunju A
Mobile: 0683702330/ 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com