Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa mil 60 maongezi
Kiwanja kipo kibamba luguluni km 1 tu toka moro road
Bei mil 60
Hati ya wizara ipo
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1143
Kiwanja kizuli sana kwa ujenzi wa arpatiment lodge makazi safi mtaa mzuli sana
Kiwanja kipo karibu sana na mahakama ya wilaya ubungo
Karibu sana mteja