Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA KIPO KIBAMBA HOSPITAL š„
KINA SQMT 1031
Kimepimwa tayari nakina mawe bado
Hati itatoka kwajina lamteja atakae nunua kiwanja
KUTOKA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD
NI KILOMITA 2 TU
usafili pkpk 1000 tu adi site. Barabara imenyooka sana
BEI MILIONI 43 MAONGEZI YAPO KIDOGO
0746 433 854