Plot for sale at Kigogo, Dar Es Salaam


*Industrial Plot Ekari 14 yenye Godown 5 inauzwa Kigogo - Fresh*
*Location* Eneo limegusa lami ya kuelekea Chanika
-Eneo lote limezungurushiwa uzio na ndani kuna nyumba na majengo yakiwemo Godown 5 makubwa yenye uwezo wa kuingiza Kontena 40ft zaidi 5.
*Eneo linafaa kwa matumizi ya Yard, Kiwanda, Godown n.k*
-Plot size Ekari 14
-Document: Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 8.5 mazungumzo yapo*
Buy,sale, Rent and Advertise with us
Calls and Whatsapp+255621488071