Plot for sale at Kijichi, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE
LOCATION : KIJICHI MGENI NANI
DETAILS : NYUMBA KUBWA YENYE UKUBWA WA SQUARE METERS 6780
SAWA NA HEKA MOJA NA NUSU,
NDANI KUNA NYUMBA ZA KUPANGA, AMBAPO KUNA NYUMBA TATU ZA VYUMBA VIWILI NA SEBULE KWA KILA MOJA, NA KUNA UPANDE WA VYUMBA VYA KUPANGA VIWILI, KWA UJUMLA KUNA NYUMBA ZA WAPANGAJI WATANO NDANI YAKE UKIACHA NYUMBA KUBWA...
ENEO LIMEZUNGUKWA NA FENSI LOTE, NI ENEO ZURI SANA
MAJI NA UMEME VIPO, MAJI YAPO YA KISIMA TENA MAJI SAFI YASIYO YA CHUMVI, PIA PANA MAJI YA DAWASA
ENEO LINA HATI YA SERIKALI ZA MTAA
BEI YAKE NI MILIONI 650 TU, MAZUNGUZO YAPO
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE ☎️📲 0753999903