Plot for sale at Kiromo, Pwani
Jumamosi hii ndio siku rasmi ya kuona Mradi huu…
.
.
Kwa waisojua kiromo ipo njia ya bagamoyo road kabla ya kufika bagamoyo mjini ( yaani Bunju, Mapinga, kerege, zinga then KIROMO, kitopeni, ukuni, bagamoyo mjinj) so ipo karibu na mjini
.
.
Mradi upo karibu na shule ya kiromo secondary na laurance school, karibu na zahanati ya kiromo pia ni karibu na chuo cha utafiti wa kilimo ( chambezi)
.
.
Bei ni 2.5m kwa kiwanja cha sqm500 ( yaani ni 5000@sqm)
.
.
Eneo limeshapimwa na lina survey approved
.
.
Maliza kulipa upate hati yako mkononi
.
.
Hii ni ofa ya funga mwaka na kiwanja
.
.
Piga 0657 533630