Plots for sale at Kiromo, Pwani


Kwa Tsh 7000/= tu kwa sqm 1
.
.
Uliza wapi ???
Ni KIROMO yaani ( Bunju, Mapinga, Kerege , zinga then kiromo) Hata Bagamoyo Mjini hufiki
.
.
Mradi ni mzurii kushinda valentine yenyewe , Barabara zinapitika ,( zote zimechongwa) mradi umeafishwa ili kukuwezesha weww kuona point zote
.
.
Km 6 kutoka bagamoyo Road hadi site
.
.
Mradi una huduma muhimu za kijamii
.
.
Jumamosi tutakwenda site
.
.
Namba ni 0657 533630
.
.
Achana na maua wewe sio nyuki njoo tukupe plot nzurii kwa bei ya wapendanao