Plot for sale at Kurasini, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE.nyumba inauzwa
Area Kota za bandari kurasini mivinjeni
Ina vyumba 3 vyote masta kila chumba kina full A/c kila chumba kina kabati la ukutani .Ina dining na sebule pia ina store na jiko.ukubwa Wa kiwanja square mita 570.ina tittle.ina mtaa wa mbele na wa nyumba
Bei milioni 400
Kwa maelezo zaidi PIGA 0754206815/0629956838