Plot for sale at Kurasini, Dar Es Salaam
House for Sale
Nyumba inauzwa
Eneo Kota za bandari kurasini Jirani na bandari
Nyumba Ina sifa zote
Ina vyumba 3 vyote masta
Kila chumba kina kabati la ukutani la kisasa
Kila chumba kina feni na full A/C
Nyumba hiko ndani ya fensi
Vyumba 3vyote masta
Kila chumba kina A/C
Sebule kubwa
Dining
Madirisha Aluminium
Full tailizi
Jiko kubwa la kisasa
Ina hati ya serikali
Kituo mivinjeni au bandari njia kubwa Jirani na nyumba
Bei milioni400
Maongezi yapo
Kwa maelezo zaidi piga 0754206815
Whatsap0754206815