Plot for sale at Miyuji, Dodoma
ENEO LENYE UKUBWA WA 35,000 sq.m ,( elfu thelasini na tano) LINAUZWA MIYUJI PROPER/ jirani na daraja la Mavunde JIJINI DODOMA
Eneo lipo sehemu nzuri
Linafaa kwa UWEKEZAJI
Maji/Ueme upo
Bei ni Tshs. 750,000,000/= ( milioni mia saba na hamsini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"